Kwa umri aliokuwa nao Chama nampa msimu mmoja tu pale yanga

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Chama kwa sasa ni 37-38, kwa umri wake ni kwamba Yanga wamempata Dakika za jioni sana pale ni msimu mmoja tu watampa thank you, sababu cha kwanza mshahara mkubwa alafu Yanga yenyewe imekamilika hata chama asingesajiliwa pale Yanga ilikuwa na kikosi kizuri hata huyo chama tu uwezekano wa kupigwa benchi pale upo kama hatakiwasha

Kingine ana tabia za kucheza na akili za watu mkataba ukiisha ili aongezewe hela

Chama katumika kishabiki ila Gsm wakishamaliza kumtumia kifuatacho ni kustaafu ndani ya.mwaka mmoja
 
Msimu huu Dube na Chama Pancha dirisha dogo wanasajili tukiwa tumewaacha point 15 huko
 
FB_IMG_1721294912403.jpg
 
Chama kwa sasa ni 37-38, kwa umri wake ni kwamba Yanga wamempata Dakika za jioni sana pale ni msimu mmoja tu watampa thank you, sababu cha kwanza mshahara mkubwa alafu Yanga yenyewe imekamilika hata chama asingesajiliwa pale Yanga ilikuwa na kikosi kizuri hata huyo chama tu uwezekano wa kupigwa benchi pale upo kama hatakiwasha

Kingine ana tabia za kucheza na akili za watu mkataba ukiisha ili aongezewe hela

Chama katumika kishabiki ila Gsm wakishamaliza kumtumia kifuatacho ni kustaafu ndani ya.mwaka mmoja
Chama alisajiriwa tu kama tahadhari endapo Aziz Ki asipoongeza mkataba. Kwa mfumo wa Gamondi wa kutaka kila mchezaji atoke jasho uwanjani wakati Chama ni mtwmbeaji tu uwanjani sitashangaa akipigwa benchi
 
Chama kwa sasa ni 37-38, kwa umri wake ni kwamba Yanga wamempata Dakika za jioni sana pale ni msimu mmoja tu watampa thank you, sababu cha kwanza mshahara mkubwa alafu Yanga yenyewe imekamilika hata chama asingesajiliwa pale Yanga ilikuwa na kikosi kizuri hata huyo chama tu uwezekano wa kupigwa benchi pale upo kama hatakiwasha

Kingine ana tabia za kucheza na akili za watu mkataba ukiisha ili aongezewe hela

Chama katumika kishabiki ila Gsm wakishamaliza kumtumia kifuatacho ni kustaafu ndani ya.mwaka mmoja
Amesajiliwa kwa kandarasi ya Mwaka mmoja
 
Ila usajili wa Chama na wenyewe inawezekana ulikuwa ni takwa la kiongozi fulani tu ndani ya klabu. Siamini kama lilikuwa ni chaguo la kocha, au mashabiki.
 
Back
Top Bottom