Kwa mara ya 2 narudi jukwani wana jf kwani mara ya 1 sikupata support,ni kwamba:- 1.je,kuna incubator automatic inayotumia solar power?
2.kama ipo,ya mayai 3,000 inauzwaje na inatumia watt ngapi?
3.changamoto za ukuzaji vifaranga n zp?
AHSANTE NAWASILISHA