Kwa unayejua tafadhali usininyime ujuzi!

Kwa unayejua tafadhali usininyime ujuzi!

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Kwa mara ya 2 narudi jukwani kwani mara ya 1 sikupata support,ni kwamba.
1.Kuna automatic incubator inayotumia solar power?
2.Kama ipo,ya mayai 3,000 inauzwaje na inatumia watt ngapi?
3.Changamoto za ukuzaji vifaranga n zp ili vipone?
AHSANTE NAWASILISHA
 
Ngoja nikuitie mkuu Chasha Poultry Farm atakuwa na cha kukwambia juu ya hili. Pia jaribu kusearch incubator humuhumu ndani nyuzi kibao zimeelezea au nenda kwenye google ulizia alibaba on line market watakwambia kama product hiyo huingizwa sokoni.
Kila la kheri mkuu tuwe wakweli
 
Last edited by a moderator:
Kwa mara ya 2 narudi jukwani kwani mara ya 1 sikupata support,ni kwamba.
1.Kuna automatic incubator inayotumia solar power?
2.Kama ipo,ya mayai 3,000 inauzwaje na inatumia watt ngapi?
3.Changamoto za ukuzaji vifaranga n zp ili vipone?
AHSANTE NAWASILISHA

Mkuu hakuna Incubator special ya kutumia solar pekee yake, zote zinatumia Umeme na zinakuwa na optional ya kutumia solar au ges, Ila kwamba yenyewe imetengenezwa itumie solar pekee sio rahisi na kumbuka hakuna mfomu maalumu wa mtambo kutumia solar kwa sababu mashine zote hutumia umeme na hata solar ni umeme pia,

Hivyo hakuna, ila unaweza nunua hiyo mashine na ukaoparate kwa kutumia solar pekee ila kwa mashine ya mayai 3000 ni lazima uwe na Sola kubwa kabisa zenye nguvu kubwa na ni lazima pia kuwa na genereta ya kusaidia hizo solar mara moja moja.

-Changamoto zipo nyingi sana, vifaranga mpaka wakuwe si mchezo, COCCIODIOSIS ndo ugonjwa mbaya sana unaua sana vifaranga si mchezo
 
Pamoja sana mkuu,sema nilitaka kujua kama solar ya watt 200,inaweza kusukuma incubator ya mayai 3,000,na kuhusu changamoto za kukuza vifaranga hivyo bado ni kitendawili kwani research yangu itakuwa bado haijakamilika bila kujua undani wa risk hizo
 
Back
Top Bottom