Imekuwa ni jambo la kawaida kwa walimu kunyanyaswa kwa namna mbalimbali hapa nchini. TAZAMA HII:
Mimi ni mwalimu ninayefundisha katika shule ya msingi katika halmashauri ya wilaya ya Masasi. Nimepata tatizo la kifamilia ambalo kwa namna moja ama nyingine linaweza kuathiri utendaji wangu wa kazi za kila siku. Nikaamua kwenda kwa afisa elimu wilaya(DEO) ili anisaidie kwani jambo lenyewe lipo chini ya uwezo wake. Cha kushangaza,ile naingia tu ofisini na kutoa utangulizi wa kile kilichonipeleka pale,DEO alikataa kunisikiliza kisha akaondoka na kuniacha nikiwa nimekaa pale ofisini kwake. Katika hali hii tunategemea nini katika elimu ya nchi hii? Ni mwalimu gani atafanya kazi kwa moyo katika unyanyasaji kama huu? NIMEUMIA SANA!!!!!!