K kissa anyigulile JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 1,550 Reaction score 1,742 Nov 4, 2021 #1 Tafadhali, sisi wakazi wa Wilaya ya Rungwe Mbeya na maeneo yote yanayozunguka, tunaomba sana Muwaruhusu Radio Chai FM waturushie matangazo yenu. Bila kupendelea au kuleta ushabiki, ni radio moja tunayoitegemea sana hapa kwetu. Asanteni
Tafadhali, sisi wakazi wa Wilaya ya Rungwe Mbeya na maeneo yote yanayozunguka, tunaomba sana Muwaruhusu Radio Chai FM waturushie matangazo yenu. Bila kupendelea au kuleta ushabiki, ni radio moja tunayoitegemea sana hapa kwetu. Asanteni