ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwa siku nakunywa pespi tatu mpaka nne ninaweza kukamatwa na mtego gani wa kuugua au hakuna maradha ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa tu hospital zipo, japo utakalolipata huenda lisiwe na dawaKwa siku nakunywa pespi tatu mpaka nne ninaweza kukamatwa na mtego gani wa kuugua au hakuna maradha ?
Maradhi utayopata yanaitwa kuchapiwa\kugongewa syndrome! Maana ukishatibwilisa ma insulin ukaanza kula vyakula bila chumvi itapendeza tukiruka na wife wako!Kwa siku nakunywa pespi tatu mpaka nne ninaweza kukamatwa na mtego gani wa kuugua au hakuna maradha ?
Hahahaha......Mkuu ni bora bidii hiyo uielekeze kutafuta UKIMWI kuliko KISUKARI.