Kwa unywaji wangu wa Pepsi 3 nitegemee maradhi gani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa siku nakunywa pespi tatu mpaka nne ninaweza kukamatwa na mtego gani wa kuugua au hakuna maradha ?
 
Mimi pia nimekua mlevi wa Pepsi jamani..uwiiii siku ila najitahidi kuacha wakau nakunywa mbili kwa week
 
Mkuu kama nakumbuka vizuri marehemu Sajuki aliwahi kusema yeye alikuwa anakunywa soda mpaka kumi kwa siku, anadai soda pia ilichangia tatizo lake ingawa mpaka mauti yanamkuta alikataa kata kata kuitaja hiyo soda aliyokuwa anaitumia kila siku kwa wingi namna hiyo.
 
walevi wa Soda tuko wengi
Ukisema usinywe unanunuliwa kwa week unakunywa mara4 mpaka5 ila ni 7up pepsi ama coca janga letu linakuja


kuna siku ilinipaga mshtuko ws moyo sitasahau maishani mwangu
 
Kwa siku nakunywa pespi tatu mpaka nne ninaweza kukamatwa na mtego gani wa kuugua au hakuna maradha ?
Maradhi utayopata yanaitwa kuchapiwa\kugongewa syndrome! Maana ukishatibwilisa ma insulin ukaanza kula vyakula bila chumvi itapendeza tukiruka na wife wako!
 
Pepsi sijui ila cocacola ni noma . Inang' arisha choo kwa kuondoa madoa ya uchafu , tumboni vipi ?
 
Kama kazi unayofanya ni ngumu hamna shida. Mbaya ni uwe mtu wa vikazi vilainilaini!
 
utapatwa na matatizo ya meno
Matatizo ya mifupa
Vidonda vya tumbo
Kisukari
Shinikizo la damu
 
Wanasema kwamba soda moja content ya sukari ni sawa na vijiko 12,CHa msingi kama unafanya mazoezi na kunywa maji mengi ya kutosha unapunguza effect yake.

Nakumbuka hata Praygod Kweka (BAGHDAD) alikuwa anafanya interview anasema alikuwa anatumia sana soda sometimes alikuwa anagonga hadi kreti moja......Ila alikuja kupata KISUGAR.
 
Utaoza meno..... Ila inategemea unapiga mswaki mara ngapi na unatumia dawa gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…