Kwa unywaji wangu wa Pepsi 3 nitegemee maradhi gani?

Duh hii mambo ilinisumbua sana, lakini kwa sasa Alhamdulillah nakunywa 7 tu kwa week.
 
Yaani Sukari inakusubiri kwa hamu kubwa sana. Anza kutafuta namba ya Dr. Kaushik mapeema
 
Nje ya mada.
Nasisi walevi wa bia inakuaje??bia kila siku yani..madhara gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…