The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ni kwa nini shutuma nyingi unazuekekeza kwa Mbowe!?Mbowe na wenzake ndio wanashindwa kufanya hivyo.
Mimi niliona vivyo hivyo, CDM ivishawishi vyama vingine kisha waombe hati ya kufutwa vyama vyao na msajili. Kwakuwa msajili na CCM ni vilaza watafuta kwa haraka watakapokuja kushtuka washachelewa
Hapo ndipo mwanzo wa siasa mpya Tanzania
Haya maswali yako ndo yananifanya nipate walakini kwamba huenda kulikuwa na mkono wa chama tawala kuanzisha upinzaniKwani hivi vyama pinzani alivianzisha nani ? Na kwa lengo gani ?,Walio vianzisha walitokea wapi ?,
Nadhani hivi nduvyo ilivyo sasa kwa hiyo ili kudai mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania yaani lazima turudi kudai demokrasia ya vyama vingi kama ilivyokua miaka ya 1980-90Sasa si wataunda chama cha upinzani cha mchongo tu. Au watawapa wapinzani uchwara chochote kitu mambo yataenda.