GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama ndani ya miaka yake minne ( 4 ) tu kafanya 'Mapungufu' makubwa yafuatayo ya 'Kiutendaji' akiwa Ikulu ( WH ) kwanini arudishwe?
1. Kaharibu Sera ya Nje ya Marekani na Mataifa makubwa
2. Aliifanya Ikulu ( WH ) kama ni Ofisi yake binafsi na Wanafamilia wake
3. Aliionyesha wazi wazi Chuki yake hasa kwa Watu Weusi na Masikini
4. Aliharibu kabisa Idara zake za Usalama huku Yeye akionyesha Kutumika na Urusi na kutaka Kuhatarisha Usalama wa Marekani
5. Alishindwa Kudhibiti 'White Supremacy' ambayo ilianza kuota Mizizi kutoka kwa Polisi wa Marekani kwa Watu Weusi
6. Alijikita sana katika Kulaumu, Kushutumu na Kutishia Mataifa mengine na siyo Kuijenga zaidi Marekani Kiuchumi
7. Chuki yake kwa Wahamiaji na hata Uwasilishaji wake uliojaa Kiburi na Jeuri hakika Mwenyezi Mungu asingeacha Kumlaani
Walichoamua Wamarekani ni Jambo 'jepesi' tu kwamba bora 'tutawaliwe' na Mzee ( Babu ) Joe Biden kuliko 'Popoma' moja 'tukuka' Donald Trump.