Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,109
- 5,284
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Balinya ndio aitishe Simba?
Balinya ni mchezaji wa kawaida sana na leo nimebahatika kumsikia wakala wake ambaye pia ni wakala wa Medie kagere akizungumza kwamba Simba walimwambia wanataka international player na sio national player hivyo Balinya alifeli hakuwa na hicho kigezo.
Unazidiwa hata na mtoto wa darasa la 4Kwamba Balinya ndio aitishe Simba?
Balinya ni mchezaji wa kawaida sana na leo nimebahatika kumsikia wakala wake ambaye pia ni wakala wa Medie kagere akizungumza kwamba Simba walimwambia wanataka international player na sio national player hivyo Balinya alifeli hakuwa na hicho kigezo.
Usije ukaukimbia Uzi wako huu tafadhali ukaanza kelele kwamba Simba kabebwaAman itamalaki
Kwa usajil huu unaoendelea pale msimbazi kisajili wachezaji wasio na mbele wala nyuma na kuwaongezea mikataba wachezaji waliojichokea basi simba poleni sana
Kocha mtamfukuza mapema sana
Uzi ubaki hadi mwisho wa musimu
Lakin mtakuwa wanyonge sana na wateja wa kila team
Mayala B
Mimi nalijua soka kuliko ukoo wenu wote ohooo!Unazidiwa hata na mtoto wa darasa la 4
Mayala Tyombana mogange ndezu, unafikiri sijui nini ulikusudia kuleta uzi huu kwa hadhira?Acha kujitekenya na kujichekesha mwenyewe kwenye topic yangu sijamtaja mchezaji yeyote. Punguza kimuhe muhe wewe mjukuu wa bibi hindu
Na yule beki wa Singida nae ni International Player?Kwamba Balinya ndio aitishe Simba?
Balinya ni mchezaji wa kawaida sana na leo nimebahatika kumsikia wakala wake ambaye pia ni wakala wa Medie kagere akizungumza kwamba Simba walimwambia wanataka international player na sio national player hivyo Balinya alifeli hakuwa na hicho kigezo.
Tunza hii pumba yako.Aman itamalaki
Kwa usajil huu unaoendelea pale msimbazi kisajili wachezaji wasio na mbele wala nyuma na kuwaongezea mikataba wachezaji waliojichokea basi simba poleni sana
Kocha mtamfukuza mapema sana
Uzi ubaki hadi mwisho wa musimu
Lakin mtakuwa wanyonge sana na wateja wa kila team
Mayala B
Kwa hyo Mzee Kagere ndio International player?Kwamba Balinya ndio aitishe Simba?
Balinya ni mchezaji wa kawaida sana na leo nimebahatika kumsikia wakala wake ambaye pia ni wakala wa Medie kagere akizungumza kwamba Simba walimwambia wanataka international player na sio national player hivyo Balinya alifeli hakuwa na hicho kigezo.
Ha ha ha kumbe ni kajukuu ka Malkia Bi Hindu!Acha kujitekenya na kujichekesha mwenyewe kwenye topic yangu sijamtaja mchezaji yeyote. Punguza kimuhe muhe wewe mjukuu wa bibi hindu
Hao directors ni kina nani? Mtakula mlikopeleka hati!Mayala Tyombana mogange ndezu, unafikiri sijui nini ulikusudia kuleta uzi huu kwa hadhira?
Simba ni professional team with a professional directors haifanyi vitu kizamani, wewe sijui msukuma wa wapi mshamba
Wameshachanganyikiwa hao sasa hivi mchezaji yeyote anayesajiliwa simba ni international playerNa yule beki wa Singida nae ni International Player?
Hati ya jengo la Simba mmiliki wake ni Simba sports club na sio mtu! Hiyo dhana potofu mliyonayo endeleeni kuwa nayo akili za kimaskini hizo yani Yanga na kilomoni wote masikini.Hao directors ni kina nani? Mtakula mlikopeleka hati!
Kwa hiyo mmeamua kuja na staili ya kusajili wasiojulikana siyo!Hati ya jengo la Simba mmiliki wake ni Simba sports club na sio mtu! Hiyo dhana potofu mliyonayo endeleeni kuwa nayo akili za kimaskini hizo yani Yanga na kilomoni wote masikini.
Unajua mapato ya jengo la Simba yanayopatikana huwa yanaenda wapi na yanafanya kazi gani?
Bodi ya wakurugenzi ya Simba sina haja ya kukutajia ni kina nani kwa sababu wewe ni Yanga
Wewe hujui mpira sibishani nawewe huenda hujui hata maana ya international playerKwa hyo Mzee Kagere ndio International player?