Ganda Mweri
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 303
- 887
Kwa mujibu wa vyanzo nyeti kutoka klabu yetu pendwa, ni kwamba kocha Robertinho ametoa mapendekezo yafuatayo.
Beki wa kati wa rayon sports, na winga wa rayon sports Henry ntima. ( Wachezaji 2).
Winga wa Vipers Martin kiiza, na yule golikipa wa Vipers yule mkongomani. ( Wachezaji 2).
Huyu kocha yeye anaamini katika wachezaji aliowahi kuwafundisha. Mimi nilifikiri tutatafuta wachezaji wenye uzoefu mkubwa na michuano ya kimataifa, Yeye anaenda kutafuta wachezaji hata robo fainali klabu bingwa kwao ni ndoto.
Mimi nawashauri viongozi kuwa makini na mapendekezo ya huyu kocha aliyetuambia hajawahi kufundisha mchezaji hatari kama kibu Denis( alipomuona mazoezini), Vinginevyo hata mwakani tutegemee maumivu tu.