Kwa usalama zaidi. Tunafunga pipelines za Gesi ya kupikia

Kwa usalama zaidi. Tunafunga pipelines za Gesi ya kupikia

EVIGT

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
526
Reaction score
415
Mifumo salama kwenye nyumba yako au ofisini kwako.

Gesi ya kupikia inahitaji kuwekewa mfumo salama kwa kufanya pipeline ambazo zitakwenda kwenye jiko au mahala inapohitajika gesi kutumika Tu.

Gas pipelines installation ni muhimu kwenye nyumba za kuishi, hotelini, maabara za mashuleni, taasisi za tafiti, kiwandani, n.k.

Kwa huduma ya haraka na nafuu wasiliana nasi sasa.
0759 600809
Popote Tutakufikia ndani ya Tanzania.

IMG_20230127_113507.jpg
IMG_20230131_123427.jpg
images (35).jpeg
IMG_20230206_115021.jpg

 
Back
Top Bottom