Kwa ushaidi huu wa biblia Yohana ni Eliya

Kwanza elewa kuwa Eliya akuwa mtu wa kawaida kama wewe na mimi kwaiyo kunilinganisha mimi na eliya unaonekana ujui kitu unachobisha
 
Kwanza elewa kuwa Eliya akuwa mtu wa kawaida kama wewe na mimi kwaiyo kunilinganisha mimi na eliya unaonekana ujui kitu unachobisha
Sasa wewe ndio hujui unachoongea Eliya alikua mtu wa kawaida kama wewe ulivyo ila alikua anafanya mambo yake pamoja na Mungu na Mungu akamtumia yeye. Labda kitu gani kinafanya useme Eliya hakuwa binadamu wa kawaida?
Swali langu kwenye post uliyoquote lisome tena na ujibu ukiwa umetulia
 
Asante kwa ufafanuzi huu, naomba niutumie mahali.

Swali langu,

Je siku ya ufufuo Eliya atafufuka kama Eliya au kama Yohana mbatizaji ?,

Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…