ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa kweli bado sana, makelele tu.Ukweli ni kwamba Manara hana mpinzani kwenye kucheza na Jukwaa la wanamichezo.
Manara Apewe Maua yake,Hawa kina Kitenge na Zembwela ni wababaishaji tuu.
Hao wamechemka kwenye udalali wa DP ya Dubai tu, lakini kwa Umc wa hiyo shughuri wapo vizuri.Ukweli ni kwamba Manara hana mpinzani kwenye kucheza na Jukwaa la wanamichezo.
Manara Apewe Maua yake,Hawa kina Kitenge na Zembwela ni wababaishaji tuu.
Nimeshangaa sana. Bora wangempa Kingwendu tu😀Ukweli ni kwamba Manara hana mpinzani kwenye kucheza na Jukwaa la wanamichezo.
Manara Apewe Maua yake,Hawa kina Kitenge na Zembwela ni wababaishaji tuu.
Na ukwel huo ni upi sasa useme!!mm ni simba damu lakn kwa hili ukweli usemwe tu
ukweli ni kua Ata mm sijui 😂Na ukwel huo ni upi sasa useme!!