SafiThe Liverpool Echo report that both Premier League sides appearing in the game stand to receive €3.5m (£3.2m) in prize money for simply turning up, whilst there is also a further €1m (£920k) on offer to the team that lifts the trophy.
4,120,000 Pound sterling equals
11,481,822,000.00 Tanzanian Shillings
Kwa standard za ulaya Ni hela ndogo Sana mkuu. Inapitwa Hadi na kiingilio Cha mechi 1, ndio maana Hilo kombe hata watu hawalifuatilii.The Liverpool Echo report that both Premier League sides appearing in the game stand to receive €3.5m (£3.2m) in prize money for simply turning up, whilst there is also a further €1m (£920k) on offer to the team that lifts the trophy.
4,120,000 Pound sterling equals
11,481,822,000.00 Tanzanian Shillings
Ina maana mapato mengi ya vilabu vya huko majuu ni mauzo ya wachezaji, Viingilio,wadhamini,matangazo ya biashara kuliko pesa za makombe?Sikubalian na ww hata kidogo, unajua bingwa wa carabao na FA wanapata hela kiduchu kuliko hiyo ya bingwa wa super cup?
Mfano kombe lenye Hela zaidi Uefa champions league Kila stage unayovuka unapewa Hela ndefu. Huu Ni mtiririko wa Hela.Ina maana mapato mengi ya vilabu vya huko majuu ni mauzo ya wachezaji, Viingilio,wadhamini,matangazo ya biashara kuliko pesa za makombe?