MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hizi drones za Kibongo haziwezi kudunguliwa hata kule Marekani au Iran, zinapaa na kugeuza geuza angani, ni utaalam wa kipekee. Inafaa Ulaya waanze kuja Afrika kujifunza maana kwa sayansi zao zote hawajafikia kiwango hiki.
Mtu anapaa kwa ungo usiku bila hata kutegemea taa au mwanga wowote....
Mtu anapaa kwa ungo usiku bila hata kutegemea taa au mwanga wowote....