TZ tumejaaliwa ubunifu ila serikali tu ijaweka baajeti ya kuendeleza vipaji ila ingewekeza saizi tungekua mbali maana ukifumba ukifumbua tu ushafikiswa kibela unadhani nauli ingekuwa sh ngapi ila serikali yetu haimtambui mwenye kipajiNAKWEDE mbona unang'aka, hutaki tutangaze utaalaam wetu Waafrika, hao kila siku wanatutambia inter-continental ballistic missiles zenye uwezo mkubwa wa kuchana anga kutoka bara moja hadi la pili, hutuona maboya tu wapasua matofali kwa kichwa, hawajui na sisi tuna uwezo wa kumkuta Trump au Putin kwake nyumbani bila kuonekana.
The lady is speaking in a tribal language contrary to the Swahili JF Kenya haters bark about. Kumbe hizi Bantu languages are that similar... hehehehe "mbiti" ni fisi in Kamba, Embu and Mbeere language na in Kikuyu ni "Hiti". Penda sana, actually I could pick some few words from the lady and understand them without translation.
Hizi drones za Kibongo haziwezi kudunguliwa hata kule Marekani au Iran, zinapaa na kugeuza geuza angani, ni utaalam wa kipekee. Inafaa Ulaya waanze kuja Afrika kujifunza maana kwa sayansi zao zote hawajafikia kiwango hiki.
Mtu anapaa kwa ungo usiku bila hata kutegemea taa au mwanga wowote....
Better to team up so as to facilitate day time, with clothes, flightsThey have to team up with Kenya's night runners to come with sound solution on air transportation.
Kibela si Kibera.Aha ha
Think you are quite different, simply becoz you comes from kibera.
Ziko Mbili kibera na kibelaKibela si Kibera.
Mara nyingi ukisikia "mchungaji" au kanisa fulani la mchungaji fulani yanatokea hayo ujuwe ni mchezo wa kuigiza. Watu wanajuwa kutafuta kiki.Hizi drones za Kibongo haziwezi kudunguliwa hata kule Marekani au Iran, zinapaa na kugeuza geuza angani, ni utaalam wa kipekee. Inafaa Ulaya waanze kuja Afrika kujifunza maana kwa sayansi zao zote hawajafikia kiwango hiki.
Mtu anapaa kwa ungo usiku bila hata kutegemea taa au mwanga wowote....
Wana heri wasiotapeliwa kijinga kama wewe. I dont trust at all maigizo ya kiimani haya. Na ukiona watu wengi wanatapeliwa na maigizo ya namna hii ndiyo ujue level yetu ya uelewa ni ndogo sana. Watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa by Bible.haya ni maigizo tu kama yale ya wale jamaa wakenya waliojifanya kuiba gari,au wale waliogandana au yule jamaa aliyejifanya amekufa kule south