ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,869
- 3,852
Usikomee hapo, ongoza na haya, mara kunashee anawasomea vitabu na kuongoa majini au kusoma nyota Jua hapo hakuna la maana.Mara nyingi ukisikia "mchungaji" au kanisa fulani la mchungaji fulani yanatokea hayo ujuwe ni mchezo wa kuigiza. Watu wanajuwa kutafuta kiki.
Mara nyingi ukisikia "mchungaji" au kanisa fulani la mchungaji fulani yanatokea hayo ujuwe ni mchezo wa kuigiza. Watu wanajuwa kutafuta kiki.
Vipi wazee wa mindevu na kanzu wakati wanainama kila mmoja mbele ya mwengine na kuanikiana misambwanda huwa ni maigizo au nini haswa.Mara nyingi ukisikia "mchungaji" au kanisa fulani la mchungaji fulani yanatokea hayo ujuwe ni mchezo wa kuigiza. Watu wanajuwa kutafuta kiki.
Vipi wazee wa mindevu na kanzu wakati wanainama kila mmoja mbele ya mwengine na kuanikiana misambwanda huwa ni maigizo au nini haswa.
Nilikuwa nakuona wa maana kumbe nawe ni "ignorant" wa kiwango cha juu kabisa.
Unaandika kwa jazba kama vile wanafanya kitu kibaya. Mbona huko ni kusujudu na mafundisho yake yamejaa ndani ya Biblia? Hata Yesu alayhi salaam alisujudu. Soma hiyooooo...
* Ibrahim baba wa mataifa alisujudu
“Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema,…”
Genesis 17:3
Wafuasi wa Ibrahim wamesujudu
“Yule mtu akainama akamsujudu Bwana.”
Mwanzo 24 : 26
“Nikainama, nikamsujudia Bwana, nikamtukuza Bwana, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, aliyeniongoza njiani, nimtwalie mwana wa bwana wangu binti wa ndugu yake.”
Mwanzo 24 : 48
* Musa alisujudu
“Musa akafanya haraka, akainamisha kichwa chake hata nchi, akasujudu.”
Kutoka 34 : 8
* Wafuasi wa Musa walisujudu
“Watu wakaamini, na waliposikia ya kuwa Bwana amewajilia wana wa Israeli, na ya kuwa ameyaona mateso yao, wakainama vichwa vyao wakasujudu.”
Kutoka 4 : 31
* Yoshua alisujudu
Akasema, La, lakini nimekuja sasa, nili amiri wa jeshi la Bwana. Yoshua akapomoka kiusouso hata nchi, naye akasujudu, akamwuliza, Bwana wangu aniambia nini mimi mtumishi wake?
Huyo amiri wa jeshi la Bwana akamwambia Yoshua, Vua viatu vyako miguuni mwako; kwa kuwa mahali hapo usimamapo ni patakatifu. Yoshua akafanya vivyo.
Yoshua 5 : 14 – 15
* Daudi alisujudu
Zaburi 5 : 7
“Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako, Nitaingia nyumbani mwako; Na kusujudu kwa kicho, Nikilielekea hekalu lako takatifu.”
Wakatazama wana wa Israeli wote, uliposhuka ule moto, utukufu wa Bwana ulipokuwapo juu ya nyumba; wakasujudu kifulifuli hata nchi sakafuni, wakaabudu, wakamshukuru Bwana, wakisema, Kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele.
2 Mambo ya Nyakati :7: 3
– Yesu alisujudu ! Matayo 26 ” 39 ” Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.”Wafuasi wa Yesu walisujudu ! Matayo 17 : 6 ” Na wale wanafunzi waliposikia, walianguka kifulifuli, wakaogopa sana.”
Mpagan tú huyo Hajui chochote kuhusu Maandikoa Takatifu....Mkristo w kwel kusujudu ni lazma kuonyesha heshma,utukufu & sifa inastail irud kw yawe Yahweh(Jehovah)Nilikuwa nakuona wa maana kumbe nawe ni "ignorant" wa kiwango cha juu kabisa.