Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kwa Nyie Diaspora
Mgombea mwenye kutetea maslahi yenu kwenye suala la Uraia pacha ni Bernard Membe
Katika hii clip Rais Mtarajiwa Bernard Membe anazungumzia Umuhimu wa uraia pacha, anatambua magumu mnayopitia huko katika nchi mnazoishi

- Kwa mfano katika nchi ambazo Healthcare costs ni ndogo sana kutokana na serikali za huko kusubsidize, nyie ambao bado ni raia wa Tanzania na mnaishi huko mnajikuta hamuwezi kunufaika vilivyo kwa sababu siyo raia wa huko
- Na wale ambao ni Raia wa huko tayari mnajikuta mnakosa benefits mbalimbali zilizoko katika nchi yenu ya asili yaani Tanzania