Kwa utafiti wa Jarida La Forbes..wanaume wanaofanya Kazi Hizi Hupendwa zaidi na wanawake!

Tena hao injiniaa khaaa ukifua suruali zaoo unakutana na bisbis Mara misumalii yani we umelala mwenzio yuko na likompyuta lakee anachorachoraa tuu!! Wachafuuuu tehtehh am soreee!!
 
Sawa!
Ila wangejua tunavyokuwaga bize!!
 
kibongo bongo kama unafanya kazi bank hasa ukiwa teller unawatafuna balaa
 
We we zunguka na hiyo list bila hela uone kama utapendwa.

Mwanaume mwenye hela hupendwa na kila demu.
 
Hiyo namba #3 ni kweli kabisa. Mimi mwenyewe Najiona
 
Mpemba na genge lake hayupo, Pale kwa Mangi je? Hata Muuza Butcher? Naomba ufanye utafiti tena hata Dreva Tax akosekane?
 
wafanya biashara, wawekezaji kama Dr. Shika wao vipi? maana hapa mjini wanasubiri Dr. anunue zile nyumba tu waanze kumuandama
 
Kuwa vizuri upstairs, smart kimuonekano na mkwanja mrefu. Itapendeza [emoji3]
 
#1 Engineers

#2 Architect

#3 Marketer

#4 Financial Advisor

#5 Real Estate Developers

#6 Doctor

#7 CEO
Mkuu kama ni Wanaume wanaufanya kazi tuu basi Wanamuziki wanaongoza,then wanamichezo
Diamond,Kiba,kanye west,Jay-z.
Messi,ronaldo,nk
Unless useme Professionals....na Hiyo ni Kule Ulaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…