Kwa utafiti wa Jarida La Forbes..wanaume wanaofanya Kazi Hizi Hupendwa zaidi na wanawake!

Hata Teachers huku kitaani kwangu kuna walimu vijana wana gegeda mbayaaa
 
Unataka kuniambia Mark Zuckernberg anapendwa na madada zaidi ya Diamond Platnumz au Justine Biebers...


Yaani CEOs wamewazidi Musicians
 
Hiyo orodha ni feki na ina lengo la kupotosha umma.
Mbona wauza urembo, wasafisha kucha, waosha miguu, madereva taxi, wauza chips sijawaona.

Hii taarifa irekebishwe haraka.
 
"Your career defines you more than you might know. It influences your tastes, your friends, and even how you spend your spare time..."

Thank you!
 
Nimeirudia hii list mara nyingi sijaona Jambazi kutajwa..kweli? hii list ni feki.Na ifutwe mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…