[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh: Sisi walimu hatumo kabisa kwenye list? Na sisi ndio tumewafundisha hao wenye kazi pendwa na wadada? Inauma sana
Nashangaa wametusahau kabisa.Vip kwa sisi IT?
hatujawekwa, au forbes ya LUMUMBA?
[emoji6]Hii CEO kozi yake inatolewa chuo gani hapa bongo?
CEO????Hii CEO kozi yake inatolewa chuo gani hapa bongo?
Mbona mkaanga VIEPE/CHIPS hayupo hawa Forbes wameanza kudata#1 Engineers
#2 Architect
#3 Marketer
#4 Financial Advisor
#5 Real Estate Developers
#6 Doctor
#7 CEO
Hujui chochote kuhusu maisha yangu wala elimu yangu..funga bakuli lako !acha kusingizia tena watu vyuo livyosoma mkuu, utaumbuka humu, maana hata ID yako inasadifu chuo ulichosomea..
Proud to be no. 4 &5[emoji4]#1 Engineers
#2 Architect
#3 Marketer
#4 Financial Advisor
#5 Real Estate Developers
#6 Doctor
#7 CEO