Sio jambo la kustaajabisha kuona kila mwaka wilaya ya meatu kielimu kuwa mwisho mwisho katika matokeo ya kidato IV.
Viongozi wetu hasa DEO Secondari kuwa mbabe na mwenye majibu ya kejeli kwa walimu na ni mtu asiyekuwa na msaada kumevunja hamasa ya walimu kufanya kazi hata hvyo uteuzi wa wakuu wa shule umejaa rushwa na kujuana kunakopelekea hata pesa za manunuzi ya vitabu kugawana.Hivyo tunaomba mamlaka husika zimchunguze na kufanya ufuatiliaji ktk shule zote za sekondari hasa matumizi ya pesa na uteuzi wa wakuu wa shule.