Kwa uzembe wa Liverpool msimu huu, Nawapa Chelsea ubingwa wao

Achana tu na injury kuna upuuzi mwingine wa covid-19 tulikuwa tuna wakosa wachezaji 6 wa kikosi Cha kwanza na mpaka tukawa tunaomba mechi zetu zihairishwe Cha ajabu tukawa tunakataliwa Cha ajabu team zingine zinakubaliwa kama Arsenal, Liverpool, man city etc
 
Excuses nyingi, to make it short sema pumzi ilikata inatosha.
 
Acha visingizio Uwezo wenu ndo umeishia hapo
 
Hata hiyo UEFA asijikite nayo cause benzema kanuia KO just imagine itakuaje siku hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…