wapi huko??? chitchat MMU au?? analia kuhusu nini
Hahahaha poa poa ngoja nikachekii think chitchat coz jamaa anasema haujatembelea posti zake nyingi
Hahahaha poa poa ngoja nikacheki
Hahahahahahahahahahaaaaa yani wewe hauishi vitukoDuh!!.....Huyo jamaa hapo ni mimi!!....Hii picha yangu umeipata wapi mkuu???.....Nani kakupa ruhusa ya kuja kuweka picha yangu JF???....huh?
nataka kulewa