Kweli mkuuHabari kama hizi hazina Tija kwa Taifaa
Kama habari haina tija, vipi kukomenti habari isiyo na tija ndio taifa linapata tija ???Habari kama hizi hazina Tija kwa Taifaa
Kama habari haina tija, vipi kukomenti habari isiyo na tija ndio taifa linapata tija ???
Basi nisamehe bure.samsun Kaka!!
Habari hiyo haina tija...Imekaa kiuchokozi na kugombabisha mahusiano ya watu.
Watu wanaocomment Hawana Makosa Kabisa Kabisa....
Habari Za Mda Huu Watanzania Wenzangu!
Katika pitapita yangu, kwenye mitandao ya jamii nimekutana na hii::
kiukweki tutafanya yooote tuyawezayo hapa duniani lakini hiki kamwe hatutakwepa.....
Mungu atusaidie
Ndio tulivyo baba tufanyeje huu ndio utamaduni wetu ama ulitaka tukachambue bajeti Ya 2016/ 2017!!! hahahaa nataniaWabongo hatubuni maendeleo tu, kazi kuzusha mambo ya ajabu na kipuuzi..!
Kwani tija ni nini?Kama habari haina tija, vipi kukomenti habari isiyo na tija ndio taifa linapata tija ???
Wabongo hatubuni maendeleo tu, kazi kuzusha mambo ya ajabu na kipuuzi..!