Kwa video hii Ray c amerudia madawa?

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Huko instagram dada yetu amecharuka [emoji116]


Ikumbukwe kuwa dada yetu baada ya kupona kutokana na madhara ya madawa ya kulevya aliokoka, kwa sasa anaishi England

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara matangazo nyama ya binaadamu hutangazwa Instagram, lakini nyama ya buchter itatangazi kwenye luninga.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
madawa kuingia rahisi kuacha ni ngumu labda kupumzika.alafu ndo ulikuwa maisha fulani na ukarudi mabovu hapo lazima tu hata ufanyeje.
 
Promo tu hapa naona mbona yupo poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…