Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Acha watu wapende na kupendwaUpendo ni vitendo sio maneno matupu na hivyo vitendo vinahitaji Hela sio maneno matupu.
Jitafute kwanza wewe ndo uanze kutafuta mapenzi.
Mapenzi yanahitaji uwe na Hela ya kujihudumia wewe binafsi na kuhudumia mpenzi wako wa kike
Na nyie wadada wasaidieni hao wanaume wanaojitafuta Kwa kuwakataa Kwa staha bila wao kujua Ili wasiumie sana
Tunawapa ushauri mkuu mapemaAcha watu wapende na kupendwa
Kama umechumq janga, kula na wakwenu
Labda Kwa wadada wajinga wajinga wasiotambua thamani yaoMapenzi ni utapeli mkubwa, cha msingi we piga show kisha lala mbele, tunazidiwa akili hata na mbuzi tu!! eboh!.
Thamani ya papuchi ni nn mjamba?, kama sio machine. Hamna kingine.Labda Kwa wadada wajinga wajinga wasiotambua thamani yao
Thamani ya tunda liliwe Kwa wakati wake likiwa limeiva vizuri chini ya kivuliThamani ya papuchi ni nn mjamba?, kama sio machine. Hamna kingine.
hakuna tofauti na choo cha ndani, unalipa bills za utilities kila mwezi kisa kuflash kinyesi, wamaasai wapo mbele ya muda.Thamani ya tunda liliwe Kwa wakati wake likiwa limeiva vizuri chini ya kivuli
Sio Kul bichi huko barabarani
thamani yao? thamani ni nini? na kwa nini waitambue?Labda Kwa wadada wajinga wajinga wasiotambua thamani yao