Kwa vijana wasiyo na ajira wala elimu kubwa

Kwa vijana wasiyo na ajira wala elimu kubwa

political Engineer 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
295
Reaction score
792
Nina mtaji wa kuendesha kituo cha kuuza chips na vinywaji baridi,nahitaji kijana atafute eneo zuri kibiashara.tuingie joint venture.vifaa vyote nitanunua mimi mchamgo wako ni ubunifu wa eneo pamoja na manipower.
Eneo ni popote isipokuwa kigamboni.hata ikipata aina nyingine ya biashara ilimradi unishawishi tu.

Karibuni
 
Nime ku PM mkuu kuna ishu nime kushirikisha kama uko tayari nijoin tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom