Nina mtaji wa kuendesha kituo cha kuuza chips na vinywaji baridi,nahitaji kijana atafute eneo zuri kibiashara.tuingie joint venture.vifaa vyote nitanunua mimi mchamgo wako ni ubunifu wa eneo pamoja na manipower.
Eneo ni popote isipokuwa kigamboni.hata ikipata aina nyingine ya biashara ilimradi unishawishi tu.
Karibuni