philosopher1
Member
- Sep 17, 2010
- 23
- 8
Kwa wale wenye nia ya kweli na wanaotaka kufanya biashara katika mazingira yenye uaminifu, kkuna mchina yuko tayari kusponsor biashara yako, isipokuwa kwa sharti moja , malipo yafanywe kwa bank, through letter of credits, utatoa deposit asilimia 30% atagharamia asilimia 70, utamlipa asilimia 8% kutoka hiyo asilimia 70% , ushauri wangu, ni bora watu mkaungana , 0653835995, kwa maelezo