philosopher1
Member
- Sep 17, 2010
- 23
- 8
Fafanua vzur mkuu kpato cha kati kam awe na capital kias gan na biashara gan mikataba ikoje ya hiyo biasharKwa wale wenye nia ya kweli na wanaotaka kufanya biashara katika mazingira yenye uaminifu, kkuna mchina yuko tayari kusponsor biashara yako, isipokuwa kwa sharti moja , malipo yafanywe kwa bank, through letter of credits, utatoa deposit asilimia 30% atagharamia asilimia 70, utamlipa asilimia 8% kutoka hiyo asilimia 70% , ushauri wangu, ni bora watu mkaungana , 0653835995, kwa maelezo
Kwa wale wenye nia ya kweli na wanaotaka kufanya biashara katika mazingira yenye uaminifu, kkuna mchina yuko tayari kusponsor biashara yako, isipokuwa kwa sharti moja , malipo yafanywe kwa bank, through letter of credits, utatoa deposit asilimia 30% atagharamia asilimia 70, utamlipa asilimia 8% kutoka hiyo asilimia 70% , ushauri wangu, ni bora watu mkaungana , 0653835995, kwa maelezo
Nadharia za darasani zinasema ...biashara ya kati INA mtaji kuanzia 200 milion hadi 800 na wafanyakazi 50-99...ndivyo ilivyo.Fafanua vzur mkuu kpato cha kati kam awe na capital kias gan na biashara gan mikataba ikoje ya hiyo biashar
Mm ndoo naanzaa biashara ya kufuga mbwa huyo mchina atakubali mbwa WA spishi mbali mbaliKwa wale wenye nia ya kweli na wanaotaka kufanya biashara katika mazingira yenye uaminifu, kkuna mchina yuko tayari kusponsor biashara yako, isipokuwa kwa sharti moja , malipo yafanywe kwa bank, through letter of credits, utatoa deposit asilimia 30% atagharamia asilimia 70, utamlipa asilimia 8% kutoka hiyo asilimia 70% , ushauri wangu, ni bora watu mkaungana , 0653835995, kwa maelezo