Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kishasahaulika MkuuWanabodi,
Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.
Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.
Karibu.
Paskali
Kuna jamaa limoja lililia machozi ya kinafki eti na yeye aonekane alilia.Wanabodi,
Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.
Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.
Karibu.
Paskali
Wanabodi,

Ohoooo unatonesha vidondaaa sasaSorry kwa kuwa nje ya maada Vipi Ulipita Kura za Maoni? Ndugu Paschal Njaa a.k.a Mayalla?
kwani mwaka 2000 ccm ilishinda znz? jibu baki nalo.Wanabodi,
Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.
Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.
Karibu.
Paskali
Wakati linafahamika zaidi kwa ukatili na kutaka kusifiwa sana, kwa kila kitu kila wakati, hata linapovuna lisipopanda.Kuna jamaa limoja lililia machozi ya kinafki eti na yeye aonekane alilia.
Tutaelewana tuu.Wazo zuri ila sijui kama tutakuelewa