Kwa vipigo viwili tu vya mfululizo vya Azam FC na Tabora United FC ndiyo mmechanganyikiwa hivi? Na bado!

Kwa vipigo viwili tu vya mfululizo vya Azam FC na Tabora United FC ndiyo mmechanganyikiwa hivi? Na bado!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe "Wachezaji wetu Yanga SC wamerogwa"

Mashabiki wa Yanga SC "Wachezaji wetu wanalewa sana na kupiga mno Miti / Kungonoka"

Uongozi wa Yanga SC "Hatumuelewi Kocha Gamondi ni Mbishi, Mjivuni na Mbaguzi wa Wachezaji"

Hakika aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) aliposema (ipo YouTube) kuwa Mashabiki wa Yanga SC ni kama Nyani, Mbwa na Sokwe yawezekana alikuwa sahihi kwa 100% sema tu kwakuwa Waswahili huwa hatupendi Ukweli tukamuona Mbaya na Kawatukana.

Na bado. Kudadadeki!
 
Mashabiki na viongozi wa Yanga wanasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa apedomia (UNYANI) by the late Christopher Mtikila
 
Popoma unahangaika kama kuku anayetaka kutaga.
超级截屏_20241111_184806.png
 
Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe "Wachezaji wetu Yanga SC wamerogwa"

Mashabiki wa Yanga SC "Wachezaji wetu wanalewa sana na kupiga mno Miti / Kungonoka"

Uongozi wa Yanga SC "Hatumuelewi Kocha Gamondi ni Mbishi, Mjivuni na Mbaguzi wa Wachezaji"

Hakika aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael (Rais wa Ubelgiji) aliposema (ipo YouTube) kuwa Mashabiki wa Yanga SC ni kama Nyani, Mbwa na Sokwe yawezekana alikuwa sahihi kwa 100% sema tu kwakuwa Waswahili huwa hatupendi Ukweli tukamuona Mbaya na Kawatukana.

Na bado. Kudadadeki!
Rais wa Ubelgiji tena.
 
Back
Top Bottom