Kwa vituko vile vya Onyango naamini Orlando Pirates hamtomchukua tena

Kwa vituko vile vya Onyango naamini Orlando Pirates hamtomchukua tena

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Dk. Khumalo ameua kabisa

Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Afrika Kusini amesema kwa vituko vile alivyoviona kutoka kwa Onyango anaaminiii Orlando Pirates wamebadilisha mawazo yao kumsajili

Huwezi kuwa na mchezaji kama yule Ligi ya Afrika Kusini hii. Hata hivyo ameonya Kaizer Chiefs isiende kwa kuidharau Simba na kukiri mechi za CAF zinamambo mengi sana uwanjani hayo magoli manne wasijiamini sana.
 
Huwez kumzarau mchezaji kwa mechi moja na haswa alio tufikisha hapa tulipo
 
Onyango sijamuona sana akicheza ila ile mechi nilitizama naweza kusema hakuwa na game nzuri siku ile sasa sijui mechi zingine kiwango chake maana kucheza vibaya mechi moja inawatokea hata ma star duniani anayo nafasi Jumamosi kuonesha kuwa ile ilikuwa one game off.
 
Kama waliweza kumsajili Banda sidhani kama Onyango atashindwa kucheza ile mechi, wamsubiri Onyango mechi ya pili waone shuguri yake
 
Pdidy unahitajika kwenye jukwaa la betting, huku sio sehemu yako[emoji2].
 
Onyango ndo stoper bora,mechi zote za ligi na klabu bingwa kafanya vema,uwezi kumuhukuma kwa mechi moja.
 
Back
Top Bottom