Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Afrika Kusini amesema kwa vituko vile alivyoviona kutoka kwa Onyango anaaminiii Orlando Pirates wamebadilisha mawazo yao kumsajili
Huwezi kuwa na mchezaji kama yule Ligi ya Afrika Kusini hii. Hata hivyo ameonya Kaizer Chiefs isiende kwa kuidharau Simba na kukiri mechi za CAF zinamambo mengi sana uwanjani hayo magoli manne wasijiamini sana.
Onyango sijamuona sana akicheza ila ile mechi nilitizama naweza kusema hakuwa na game nzuri siku ile sasa sijui mechi zingine kiwango chake maana kucheza vibaya mechi moja inawatokea hata ma star duniani anayo nafasi Jumamosi kuonesha kuwa ile ilikuwa one game off.