Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Namba hazidanganyi hata kama akishinda kwa halali bado sifa yake ya kuwa mwanachama wa chama cha mapinduzi inaonekana kama imemchafua.
Siku hizi ukiwa kijana na ukawa mwanaccm jamii na vijana wenzako wanakutazama kwa jicho la Tofauti kabisa na huwenda ikakukosesha fursa muhimu. Njia pekee inayoweza kukuokoa ni Napenization Method.
Katk Mdahalo unaoendelea Hapa Star TV Adv Kajunjumele Mwabukusi anaonekana kutia Fora kwa hoja murua na kwa kujiamini sana. Anaonekana Ku stand out the cloud kama Mgombea Bora anayeweza kusimamia Tasisi yenye Hadhi kama TLS.
Huko Youtube Channel nako mambo ni Bam Bam ni Mwabukusi Mwabukusi karibu kwa Watazamaji wote.
Namba Hazidanganyi tazameni wenyewe hapa Chini.