Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Sina kumbukumbu kama dunia imewahi kuwa na Mtawala baradhuli ambaye mwisho wake ulikuwa mwema, Labda CCM mtusaidie
Kiwango cha Ufedhuli katika Miaka yake mitano kinavuka fikra timamu ya kibinadamu
Na Mungu hadi sasa amemwacha lakini bado hasomi tu alama za nyakati.
Unakwendaje kwenye Uchaguzi huku majirani na dunia nzima ikiwa haikuhitaji?
Fikirini kauli Ile kwamba Kaka Lissu hapaswi kuishi. Mjumbe mwenye akili timamu hawezi kutoa akili ya kizembe namna ile, sasa nadhani anatamani hata aimeze kauli yake.
Utavuruga Uchaguzi halafu dunia nzima itakutaka Mshindi halali atangazwe, Vinginevyo uondolewe kwa nguvu mwisho unakuwaje hapo?