Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Ngoja kampeni zianze kama hukutamani kumeza haya maneno yako.Watu mnao shabikia upinzani na Tundu Lisu mna akili nyembamba sana, kaeni bila vyama kama tulivyo wengine..upinzani gani huu mnaoupenda usio kua na tija,dira wala maana yoyote zaidi ya makelele tu
Ngoja kampeni zianze kama hukutamani kumeza haya maneno yako.
View attachment 1544413
πππNini tena!!
Na watu mnao shabikia CCM ni mataahira kabisaaaaa.Watu mnao shabikia upinzani na Tundu Lisu mna akili nyembamba sana, kaeni bila vyama kama tulivyo wengine..upinzani gani huu mnaoupenda usio kua na tija,dira wala maana yoyote zaidi ya makelele tu.