Kwa vyovyote vile ni mwiko mtetemaji kutetema mbele ya simba

Kwa vyovyote vile ni mwiko mtetemaji kutetema mbele ya simba

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Kwa matokeo yoyote yale ila ni marufuku mtetemaji kutetema mbele ya simba!!
 
Mayele kazi anayo! Na leo lazima tu kuna kibabu kimojawapo kitapewa kazi ya kumkamia. Ila kabla ya mchezo kuisha, lazima ateteme.
 
Mayele ni mchezaji bora Tz, Nchi nzima saiz wanamjadili yeye 😀. Hatusikii triple c, sakho, Kagere, sakho Wala Mugalu!?!

Ukubwa na ubora wake ndio huo sasa, nakukumbusha aliwafungua nyie kwakuwatia kijiti kimoko ngao ya jamii
 
Kwa sasa hivi Mayele kutetema mbele ya simba marufuku!!! INONGA kiboko yake!! Anamkaba kistaarabu hadin raha!!!
 
Back
Top Bottom