Oppotunity
Member
- Sep 9, 2013
- 38
- 12
serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania imepunguza ada ya vyuo vikuu vyote vya serikali na private kwa asilimia 40 kwa faculty zote.
taarifa hii limetolewa rasmi na tume ya vyuo vikuu vya tanzani na imethibitishwa kwamba viwango hivyo vipya vya ada vitaanza kutumika rasmi mwaka wa masomo 2014 / 2015.
hii ni kutokana na kwamba watanzania wengi hasa watoto wa wawakulima wanashindwa kuwasomesha watoto wao elimu ya juu kutokana na hali ngumu ya maisha
source TCU.
Mkuu hili tamko umelipata wapi isije ikawa ni stori za kwenye migahawa baada ya kuvimbiwa daku la jana na pilau ya Eid.
hapo ndo utajua kwa nn hawa majamaa hawatakabidhi ufunguo wa ofisi ya nchi kwa akina CDM mapema oct2015
kivipi sasa mkuu au ndo povu ebu jenga hoja....