fierceman JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 553 Reaction score 757 May 5, 2019 #1 kwenye mada moja kwa moja hivi majina kama vile lusungu, lukelo, twilumba na hata anjimie hivi majina haya huweza tumika kwa aina zote mbili za binadam nikimaanisha wanaume na wanawake au yanatumiwa kwa jinsia moja tu?
kwenye mada moja kwa moja hivi majina kama vile lusungu, lukelo, twilumba na hata anjimie hivi majina haya huweza tumika kwa aina zote mbili za binadam nikimaanisha wanaume na wanawake au yanatumiwa kwa jinsia moja tu?
sheremaya JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 3,334 Reaction score 7,651 May 5, 2019 #2 Twilumba na anjimie kwa mwanamke Lusungu na lukelo kwa mwanaume.. Maana zake watakuja wataalumu zaidi
Twilumba na anjimie kwa mwanamke Lusungu na lukelo kwa mwanaume.. Maana zake watakuja wataalumu zaidi
fierceman JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 553 Reaction score 757 May 5, 2019 Thread starter #3 sheremaya said: Twilumba na anjimie kwa mwanamke Lusungu na lukelo kwa mwanaume.. Maana zake watakuja wataalumu zaidi Click to expand... ahsante sana mkuu kwa kunitofautishia
sheremaya said: Twilumba na anjimie kwa mwanamke Lusungu na lukelo kwa mwanaume.. Maana zake watakuja wataalumu zaidi Click to expand... ahsante sana mkuu kwa kunitofautishia