Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mbumbumbu fc kwenye ujinga wako [emoji1787][emoji1787]Simba imesheheni wachezaji wa hatari sasa hiv, ile Simba ya anaanza Shekhan, Emmanuel Gabriel na Yussuf Macho halaf wanatoka anaingia Wycliffe Ketto, Joseph Kaniki na Athuman Machupa ndio hii, hii Simba ya mwaka huu tema mate chini.
Kipa mwarabu, kulia kapombe, kushoto Zimbwe, Inonga, Che Malone, Fabrice, Kramo, Chama, Baleke, Saido, Micquisone. Huko benchi ni balaaa la Kibu, Onana, Chilunda, hapana, hapana, labda kocha azingue.
Uzi unaongelea Simba ila wamejaa jamaa wa mwiko nyumaa