Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,427
- 1,054
Nimeshtuka leo kuona sasa na zile tulizoziita Giant Bank kama Bank M, nayo imechukuliwa na itasimamiwa na Benki Kuu,
Kama Benki kubwa nazo zinakumbwa na mdororo wa ukwasi napata ukakasi huko tuendako ni salama? hasa katika Uchumi wa kati wa kujenga viwanda n.k
Wachumi hili mnalizungumziaje
Kama Benki kubwa nazo zinakumbwa na mdororo wa ukwasi napata ukakasi huko tuendako ni salama? hasa katika Uchumi wa kati wa kujenga viwanda n.k
Wachumi hili mnalizungumziaje