nadhani kama iyo itaathiri demand and supply ya dollar/Tsh ndio kutakuwa na mabadiliko ya thamani ya dollar. mfano kushuka kwa riba za BOT kunaongeza pesa kwenye mzunguko na ikapelekea ongezeko la kuingiza bidhaa toka nje ya nchi ambapo dollar itahitajika zaidi na kupelekea kuongezeka kwa thamani yake dhidi ya Tsh.ni kwamba hi issue haina uhusiano wa moja kwa moja.