Kwa wadada hasa walio single


"...kuwa na mvuto fulani wa kutaka kukuona kila saa" --- kisu kina mpini na makali, muhimu ujitambue umekamatia wapi...😀
 
Reactions: BAK
nimetamani sana kujua kilichoandikwa, ila nimeshindwa so many words nimeskia uvivu kusoma

mtazania ukitaka ujumbe ucmfikie muekee kwa maandishi.wavivu kusoma porojo aah ndo mwake.
 
Na unga mkono hoja ni kweli jmn asemayo ndg y2,ila tatizo wanawake bl kupigiwa cm mr kwa mr na sms za kl dk 2naic hatupendwi na 2natafta pale 2napoulizwa umekula bby,unafanya nn sasa,unajickiaje ndo tumezoea jamani.
 
[QSometimes akikupigia mpotezee, then unakuja kupiga masaa kadhaa baadae, unamwambia kuwa ulikuwa bize na shughuli fulani ya maana, so hukuona call yake. Au unaweza kupokea then, ukamwambia kuwa, sory, kuna kitu cha muhimu nafanya hapa, Hii point sikubaliani nayo,unajua mpaka unapigiwa simu au mtu anakubip amepitia hatua nyingi kumpotezea ni jambo baya sana.Nitarudi kuelezea kwa kirefu ili nieleweke vyema!
 
kwa mtazamo wangu mi naona kuwa mapenz hayana utaratibu, maana unaweza kufanya hayo na mtu akataffsri vingine so kikuweli mapenz ni kuridhiana tu hayo mengine ni mbwembwe tu.
 
Khaaa, hii elimu ngeni tena hii! Yaani umeimis sauti yangu unanipigia/bip hlf UNANIDANGANYA kuwa kuna mdogo wako unataka kumtafutia shule???? Unaliita shetani la uongo ktk mahusiano yako weee likikuitikia lije na kuweka mizizi unaanza tena kilio na kusaga meno! Kuwa halisi vile ulivyo, kama wewe ni mlevi usijifiche utampata chapombe mwenzako, kama hupendi sigara jipambanue tangu mwanzo, siyo unapenda kujirusha unaficha hlf siku mambo yakikunyokea unadhihirisha rangi zako zote, ktk mahusianao kufake mambo ni kati ya sumu mbaya sana.
 

Polee....
 
 
Last edited by a moderator:



Enyi single ladies msidanganyike na hii thread. Ukiona jibaba linahaha kwa demu namna hii basi ujuwe huyo ajala tunda lako bado na ukimringishia zaidi anakupotezea kwani katika kula tunda mtu anajiwekea lengo lake au muda wake na ukifka ule muda bila kuonja lile tunda usishangae kumwona anasarandia mti mwingine kwenda kuchuma/kula tunda. Kingine pia, jibaba huyo huyo anaweza akala tunda lako ndiyo ukawa mwanzo na mwisho wa kumuona tena kwani first impression kitandani ina matter sana na bahati mbaya mademu wengi wa hapa Bongo hawajuwi mchezo kitandani zaidi ya kunyonya na kulala tu kama boga. Kwa mwanamke kuwa mtundu kitandani kunasaidia hata mwanamme kuwa na hisia za hajabu na kukufanyia wewe mwanamke utundu zaidi ila dada zetu wengi wenu ni ziiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
kwa mtazamo wangu mi naona kuwa mapenz hayana utaratibu, maana unaweza kufanya hayo na mtu akataffsri vingine so kikuweli mapenz ni kuridhiana tu hayo mengine ni mbwembwe tu.

kweli tena .mimi huwa full kujiachia watu wanatofautiana kitabia mi nikikuta missed call yake huwa najilaumu naona nimemic kitu cha thamani kwanza kitendo cha yeye kuinua cm na kunipigia mimi na labda si mwingine kwanza huwezi jua ana ujumbe gani .ni vizuri kufunguka kufichaficha vitu kama mwenendo wako si vizuri
 
Siku zote kwenye mapenzi mimi hua nafanya kinachomfurahisha mpenzi wangu kutokana na jinsi mwenyewe alivyo na sio kuiga jinsi wengine wanavyowafanyia wapenz wao! Binadamu wanatofautiana inawezekana kabisa ukamfanyia A jambo fulani akafurahi sana lakini ukimfanyia B jambo lilelile akakasirika! So kwenye mapenzi hakuna haja ya kukrem guidelines just do what you think is right na mpenzi wako anakuapreciate!
 
Hii kitu haina formula itakavyokuja ndio unabinuka nayo hivyo hivyo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…