Maamaa Arsenal (Michelle) hapo unamaanisha nini? I mean hapo kwenye hivyo vikatuni.
Umeniacha njia panda dada angu!
Ni kanisa gani hilo dear nijiunge nalo? namimi napenda kupata hayo maujuzi.
Jaluo jeusi bora umenisaidia kuuliza hilo swali,maana i was about to ask her the
same qsn.
Ha ha ha haaaa unanivunja mbavu! anyway unasound good kabisa.......nauliza ili kujuwa watu wanachukuliaje kitu mapenzi na changamoto hizi za kukatisha tamaa. So kupitia coment za watu kama nyinyi naweza pata something which can change ma mind.yaani ni kama umeshaamua namna unayotaka kuendesha na kuishi maisha yako....sasa sielewi umeuliza ili iweje? manake umesema...ukweli ni kuwa...... then ni bora........!!! why did you ask if your mind is made up already?:smash:
Hayo yote uliyoniorozeshea hapo watu wameshaniambia sana. Lakini nikiangalia mambo yanayotokea huku mitaani yananikatisha tamaa kabisa ya kuwa na mpenzi permanent au kuoa. Na sasa nimeamua kuwa F.F.F (triple f)
Ni kweli Dada unaweza panda mbegu bora,kupalilia,na kumwaga mbolea safi ili upate mavuno bora kimazao.Hapa ndio panapokuponza. Hivi kujenga uhusiano wako na mwenza wako unategemea kuangalia yanayoendelea mitaani kwingine???
Kwa vile shamba la mahindi la jirani limeshindwa kutoa mazao mazuri basi unaanza kuamini mahindi yote hayatoi mazao mazuri???
Panda mahindi yako kwa mbegu bora, palilia, weka mbolea halau uone kama hayajatoka mahindi manono ya kuuza hata ulaya kwa bei mbaya
Yapo mi ninayo