KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,557
- 1,927
Natafuta mchumba seriously, awe na umri kati ya 22 na 27, asiwe mnene, awe na rangi ya asili, elimu walau kuanzia form four kabila na dini sibagui cha msingi ni hofu ya mungu.. Mimi namaliza chuo kikuu mwaka huu lakini ni mwajiriwa, nina miaka 29, si mweus wala mweupe, mwili saiz ya kati. Nimechoka maisha ya peke yangu. aliye tayari ani PM au aniandikie tuki42@yahoo.com.
Tafadhali kama hautavutwa pita tu usitukane.
Tafadhali kama hautavutwa pita tu usitukane.