[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji144] [emoji3]nahisi kama nimekosea njia. nilijua njia hii inatokea Madale kumbe nimetokea changanyikeni. samahani sana wahusika
Fanya mpango wa no tukuwezeshe kama ni tigo, voda, airtel nk.......tuanzie hapoTujaribu na hivi
View attachment 399406
Sawa risit tunazo kabisaMuweke na bei elekezi kabisaaaaaa
Msisahau risiti
Bei elekezi Tsh ngapi
Nitamwambia nitafikaje nyumbani wakat vna hata 10, namwambia tuma M-pesaHapo utaambiwa njoo uchukue nyumbani
Nitamwambia nitafikaje nyumbani wakat vna hata 10, namwambia tuma M-pesa
Hahahahah, tuma advance hakuna bodaboda au bajaji atakubali kwenda umbali mrefu bila advance, labda uwe umezoeana naeHa ha ha, hilo jina unanikumbusha kina Rancho, Raju, Virus et al; All is well, all is well!
Chukua taxi/bodaboda au bajaji, ukifika nalipa.
Hahahahah, tuma advance hakuna bodaboda au bajaji atakubali kwenda umbali mrefu bila advance, labda uwe umezoeana nae
Nakuelekeza ununio mwisho kabisa afu ukifika, nakwambia nisubir sehemu flan nakuchomesha maind weeee then nakutosa, cz mpaka unifuate ww bahili bora nikupoteze (afu unakuta mm naishi gongo la mboto) muda tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi nakuja kukuchukua mwenyewe, nielekeze uko wapi.
Nakuelekeza ununio mwisho kabisa afu ukifika, nakwambia nisubir sehemu flan nakuchomesha maind weeee then nakutosa, cz mpaka unifuate ww bahili bora nikupoteze (afu unakuta mm naishi gongo la mboto) muda tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapi wewe, kama kweli ww ungekuwa mjanja ucngejisumbua kunimbia unifata, cz tayar ungejua niko after money, so ungenipoteza hapohapo nilipokuambia unipe helaMi mwenyewe siji, mpaka ifikie kujibizana hivyo ujue kila mtu alisha msoma mwenzake.
Wapi wewe, kama kweli ww ungekuwa mjanja ucngejisumbua kunimbia unifata, cz tayar ungejua niko after money, so ungenipoteza hapohapo nilipokuambia unipe hela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha, haya bana!
Tufanye umeshinda, nimetoka Malamba Mawili mpaka Ununio halafu wewe uko Gongolamboto.
Hapo inabidi nipasuke pasuke kwa hasira aisee.